Mahakimu wa Misri waliokuwa wakifuatilia faili la Husni Mubarak, Raisi wa zamani wa Misri wamesema kwamba: mahaka ya makosa ya jinai ya Cairo yajitahidi kutoa hukumu ya mwisho ya kiongozi huyo wazamani, kuhusu mauaji ya waandamanaji wa nchi hiyo, wamesema kuwa hukumu hiyo itatolewa 16 mwezi wa pili.Hukumu hiyo itawashamili watoto wake wawili: Jamali Mubarak na Alau Mubarak pia Habibul Adiliy ambae alikuwa waziri wa mambo ya ndani na wasaidizi wao wengine 6 ambao wanatuhumiwa kushiriki katika mauaji hayo.Kwamujibu wa mazungumzo ya waheshimiwa hao ni kwamba kamati ya Mahakama inachunguza uwezekano wa kutolewa laivu katika televishini za nchi hiyo.
19 Machi 2011 - 20:30
Msimbo wa Habari: 294306
Mahakimu wa Misri wasema kuwa Mahakama itatoa hukumu ya mwisho tarehe 16 mwezi wa pili kwa Raisi wa zamani wa Misri Husni Mubarak, inasemekana kikao cha mwisho cha hukumuhiyo inawezekana ikarushwa moja kwa moja katika Televisheni.